Mwl. H. Mapunda akiwa na Prof. P. Muhando
MWALIMU WA KISWAHILI
DARASA LA MWALIMU MAPUNDA UDOM
Thursday, June 13, 2013
Sunday, October 7, 2012
MAELEZO YA MSINGI JUU YA UKURASA HUU
Ukurasa huu unashughulika na masuala ya elimu hususan taaluma za Kiswahili, Mwalimu Mapunda ameandaa ukurasa huu ili kujenga mtandao mzuri kwa wadau wa lugha ya Kiswahili ili waweze kupata nafasi ya kutoa maoni yao na kupata taarifa za hakika juu ya lugha ya Kiswahili.
Mnakaribishwa wote.
na
Mwalimu Mapunda.
Subscribe to:
Posts (Atom)